LAPF news Roundup

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zubair Corporation ya Oman

Published on 12 September, 2017

img

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zubair Corporation ya Oman, C.S Badrinath ambao ni wabia, akitoa hotuba yake katika hafla hiyo.Katika picha (wa kwanza kushoto)ni Ofisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Busara Investment. Lyle Webb ambao pia ni wabia katika kiwanda cha Machinjio ya kisasa na Usindikaji waNyama cha Nguru Hill ranch.