LAPF news Roundup

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF

Published on 30 November, -0001

img

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheniwa LAPF, Eliud Sanga akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa uwekezaji katika kiwanda cha Machinjio ya kisasa na Usindikaji wa Nyama cha Nguru Hill ranch Ltd kilichopo Wilaya ya mvomero mkoani Morogoro.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zubair Corporation ya Oman, C.S Badrinathna katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Cllifford Tandari.