LAPF news Roundup

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Bw. Eliud Sanga

Published on 15 March, 2017

img

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Bw. Eliud Sanga, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh, Mrisho Gambo pamoja na washiriki wengine wa Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF wakishiriki katika mazoezi yaliyoandaliwa na LAPF kwawadau wake asubuhi ya tarehe 10 Machi, 2017.