LAPF news Roundup
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF wakishiriki katika zoezi la kupima afya ya FigoPublished on 15 March, 2017

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF wakishiriki katika zoezi la kupima afya ya Figo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Figo duniani tarehe 9, Machi, 2017 wakati wa mkutano huo.
