LAPF news Roundup

Tuzo ya ufungaji bora wa Mahesabu LAPF 2014/15

Published on 06 December, 2016

img

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko Bw. John Kida akiwa ameshikilia Tuzo, pamoja nae  ni timu ya Kurugenzi ya Fedha ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo ilifanikisha ushindi huo wa ufungaji bora wa mahesabu kwa mwaka wa fedha 2014/15 LAPF imekuwa mshindi wa kwanza mara  sita kati ya mara nane tangu kuanzishwa kwa Tuzo hizo zilizoasisiwa na NBAA mwaka 2008