LAPF news Roundup

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli afungua rasmi kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu

Published on 06 May, 2018

img

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  na viongozi na wadau mbalimbali wakipata maelezo ya mradi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga kabla ya ya kufungua kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu katika Manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.