LAPF news Roundup

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli afungua rasmi kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu

Published on 06 May, 2018

img

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu katika Manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018 kilichojengwa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF.