LAPF news Roundup

LAPF PENSIONS FUND YAIBUKA MSHINDI TUZO ZA UANDAAJI BORA WA HESABU

Published on 14 December, 2017

img

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF  Bw. John Kida  (Katikati) akionesha kwa waandishi wa habari  ( hawapo pichani)  tuzo ya uandaaji bora wa hesabu katika sekta ya hifadhi ya Jamii na Bima ya Afya kwa mwaka 2015/2016 ambapo Mfuko huo umeshika nafasi ya kwanza, Tuzo hiyo imetolewa na  Bodi ya Taifa ya Uhasibu (NBAA) hivi karibuni.