LAPF news Roundup

Ufunguzi wa ofisi mpya ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Mkoani Geita

Published on 26 October, 2017

img

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat S. Kandege akikata utepe wakati wa ufunguzi wa ofisi mpya za LAPF Mkoani Geita. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga na kushoto ni Mkuu wa Mkoa Geita, Meja Generali (Mstaafu) Ezekiel Kyunga wakishuhudia tukio hilo. Ofisi hizo zinahudumia mikoa ya Geita,Kagera na Kigoma.