LAPF news Roundup

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. Josephat S. Kandenge

Published on 26 October, 2017

img

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. Josephat S. Kandenge akiwa amekaa na wanafunzi wa shule mbalimbali za mji wa Geita kwenye madawati yaliyotolewa na Mfuko wa Pensheni LAPF wakati wa ufunguzi wa ofisi za kanda za mfuko Mkoani Geita.