LAPF news Roundup

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF

Published on 26 October, 2017

img

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga akikabidhi madawati 100 kwa Naibu Waziri Ofisi ya Raisi TAMISEMI, Mh. Josephat S. Kandege kwa ajii ya shule za msingi za umma zilizopo Mkoani Geita. Makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa sherehe za uzinduzi wa ofisi ya LAPF, Kanda ya Magharibi zilizopo Mkoani Geita tarehe 13 oktoba,2017.