LAPF news Roundup

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF akibadilishana mkataba.

Published on 12 September, 2017

img

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga (kushoto) akibadilishana mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zubair Corporation ya Oman, C.S Badrinath baada ya kusaini makubaliano ya uwekezaji katika machinjio yaki sasa ya Nguru yaliyopo Wilaya ya mvomero mkoani Morogoro.