LAPF news Roundup

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga akitia saini mkataba wa makubaliano

Published on 12 September, 2017

img

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga (wapilikushoto) akisaini mkataba wa makubaliano ya uwekezaji katika machinjio ya kisasa ya Nguru yaliyopo Wilaya ya mvomero mkoani Morogoro.